Wakati ambao klabu ya Arsenal iko kwenye msako wa kumpata mrithi wa Arsene Wenger , wachezaji mabali mbali klabuni hapo wameendelea kuongeza mikataba ya kuitumikia klabu hio.
Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere, 26 yuko tayari kutia saini mkataba wa miaka mitatu aliyopewa na Arsenal , licha ya kupata mapendekezo bora kutoka Everton na Wolves.

No comments:
Post a Comment