Mabingwa wa EPL Man City wanaendelea kuimarisha kikosi chao kinachochuliwa na Mhispania Pep Guardiola kwa kutafuta saini za nyota mbali mbali katika ligi hio .
Guardiola ameweka wazi kuwa City wanampango wa kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard,27, kwa mkataba wa £100m
Pia meneja huyo amebainisha kumuweka mchezaji huyo kuwa kiungo muhimu anayemlenga wakati wa uhamisho.
No comments:
Post a Comment