Kupitia ukurasa wake wa Instagram therealfidq amendikia mistari iliyoambatana na kipande cha video , kinachoashiria ujio wake mpya ambao unakwenda kwa jina la KUMBUKA
kazi hio imefanywa BONGO RECODS chini ya usimamizi wa mzalishaji P-FUNK MAJANI
VIDEO INAYOONYESHA UJIO MPYA WA FID Q
No comments:
Post a Comment