Tuesday, May 29, 2018

WAMISRI WAMSHTAKI RAMOS

Wakili wa Misri amewasilisha mashtaka ya pauni bilioni moja dhidi ya Sergio Ramos kuhusiana na namna Mohamed Salah alivyoumia katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. 


No comments: