Tuesday, May 29, 2018

MAN CITY WAMNASA MAHREZ

Manchester City wako mbioni  kukamilisha usajili wa winga raia wa Algeria Riyad Mahrez (27) kutoka Leicester City  kwa gharama ya pauni milioni 75

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ana hofu juu ya ushindani wa malipo ya kifedha usajili wa mchezaji wa Wales Gareth Bale kutokana na bei yake, huku Real Madrid ikitarajiwa kumuuza mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kwa bei ya pauni milioni 200

No comments: