Mashetani wekundu wapo tayari kutoa Euro milioni 140m kwa Real Madrid kumnunua mchezaji wa safu ya kati Gareth Bale mwenye umri wa miaka 28 kutoka Wales.
Manchester United na Chelsea wameonesha nia ya kutaka kumsajili Mhispania Jordi Alba mwenye umri wa miaka 29 anayeichezea Barcelona.
No comments:
Post a Comment