Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema nchi za Umoja wa Ulaya zimekubali mkataba wa nyukilia wa Iran haukuwa kamilifu na kusistiza kuwa unapaswa kulindwa, baada ya uamuzi wa Marekani kujiondoa kuleta wasiwasi.
Markel amebainisha hayo baada ya kuwasili katika mkutano huo wa kilele mjini Sofia, Bulgaria " kila mtu katika umoja wa Ulaya anakubaliana na mtizamo kwamba makubaliano hayakuwa kamilifu, lakini tunapaswa kusalia katika makubaliano haya na kufanya majadiliano zaidi na Iran kwa misingi ya masuala mengine kama vile programu ya makombora ya masafa marefu."

No comments:
Post a Comment