Alikiba amebainisha kuwa msanii mkongwe nchini Abby Skills kuwa hayupo tena chini ya lebo yake Kings musics .
Kiba ameweka wazi kupitia mahojiano aliyoyafanya hii leo na
kituo kimoja cha radio nchini “Kuhusu Abby nilifanya hilo nimuown lakini
nitakuwa sijamtendea haki nikaamua afanye kazi mwenyewe ajitegemee lakini nitamsaidia mimi kama mimi “,.
“Nilipokaa nikafikiria
kwa mtu aliyenitoa alafu nimiliki sio
vizuri’’,.
Pia Kiba ameweka wazi kuurudia wimbo wake wa myeverything ‘’Nitaurudia
ule baadae katika mahadhi flani ambayo watu wataelewa napenda nn kwenye ule
wimbo’’,.
No comments:
Post a Comment