Thursday, May 17, 2018

BARUA KUMKOSESHA MIGUNA UGAVANA

Kunauwezekano  wa  mwanasaisa wa upinzani  nchini Kenya Miguna Miguna anayekumbwa na utata kuwa naibu gavana wa Nairobi .

Hii imekuja baada ya Gavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi Mike Mbuvi Sonko kumpendekeza Miguna  katika nafasi  hio 
Kutokana na  barua akioituma  Bw:Sonko haikutarajiwa siku ya Jumatano jioni kwa kwa spika wa bunge la kaunti ya Nairobi, akisema Miguna Miguna ametimiza matakwa yote yanayohitajika kikatiba.
Image result for miguna miguna

Barua hiyo imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuzua maoni mengi kutoka kwa Wakenya, kutokana na kuwa uteuzi wake umekuja wakati ambao haukutarajiwa.

No comments: