Wednesday, May 16, 2018

TRA YAFANIKISHA UPATIKANAJI WA MAFUTA

 TRA  imekamata zaidi ya jumla mifuko ya sukari 160 uzito wa kilo 50 kila mmoja , maboksi 40 ya mafuta ya kupikia thamani ya zaidi Milioni 20.

Kwa mujibu wa  Kamishna Mkuu wa TRA  jijini Arusha  Charles Kichere amesema kwamba mnamo May 11, 2018 katika maeneo ya Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha mamlaka hiyo ilikamata malori mawili yakiwa yamepakia bidhaa za magendo.

No comments: