Saturday, May 12, 2018

TMA -YATOA TAHADHARI PWANI

Dalili ya mvua ni mawingu  basi kama ni hivyo hakuna mvua bila mawingu  tahadhari kabla ya hatari na mzahamzaha husababisha ajali.


TMA imetoa tahadhari kwa wakazi wa maeneo ya Ukanda wa Pwani kwani mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kuanzia hivi karibuni 

Taarifa  hio  imesema maeneo yanayotarajiwa kupata mvua kubwa ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga na Visiwa vya Unguja na Pemba.

No comments: