Saturday, May 12, 2018

MVUNO WA RADI NAMBA MOJA YOUTUBE

Alikiba ameendelea kuweka historia  Youtube  baada ya wimbo wake  mpya wa Mvuno wa Radi kuwa  (1) Youtube kwa muda wa masaa yasiopungua 13 tangu ulipoachiwa jana

 Mvumo Wa Radi nizawadi  ilitolewa   jana na   RockstarAfrica , RCA Records    ,ni  wimbo ulioanzisha bidhaa yake ya kwanza "Mofaya Energy Drink inayomilikiwa na Kiba " ambayo itakuwa  soko nchini  Juni 2018.


No comments: