UWANJA KUMUONDOA HARRY KANE TOTTENHAM
Kuna uwezekano mkubwa wa mchezaji wa Tottenham Harry Kane kutambuka ili kufidia ufadhiri ujenzi wa uwanja
Kwa mujibu wa Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa wapinzani wao wa London watalazimika kumuuza mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane 24 ili kufadhili ujenzi wa uwanja wao mpya.
No comments:
Post a Comment