Friday, May 11, 2018

SALAH HUYO MADRID

Palipo maadau wengi ndipo palipo namafanikio ,palipo  marafiki wengi ndipo pasipo wajenzi .


Mshambulijai wa Liverpool Mohamed Salah anasema kuwa hataondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu. 

Nyota huyo wa MIsri mwenye umri wa miaka 25 amehusishwa na uhamisho wa kuelekea Real Madrid (Mirror)

No comments: