Friday, May 11, 2018

BAIKOKO ZA SANE ZAMPA PRESHA GUARDIOLA

Bongo kuna bolingo na bayoyo  ,bayoyo na baikoko   ,sambulo na ngoma   ila mbele kuna densi na  kusheki 
Miondoko ya densi ya Winga wa Manchester City Leroy Sane wakati wa ushindi wa kombe la ligi ilimtia wasiwasi mkufunzi Pep Guardiola, ambaye alisema kuwa kuwa aliogopeshwa na kiwango cha mchezaji huyo 
Pia Kipa wa Manchester City Ederson ameshinda rekodi ya dunia ya Guinness kwa kupiga mpira kwa urefu wa mita 75.35 (FourFourTwo)

No comments: