Nafasi ya Arsene Wenger yaumiza wakufunzi vichwa baada ya Naibu mkufunzi wa Liverpool Zeljko Buvac kupigiwa upatu kumrithi Wenger .
Arsenal huenda isimlipe mkufunzi wake mpya zaidi ya kitita cha £8.5m ambacho mkufunzi wake Arsene Wenger alikuwa akipata kwa mwaka (Daily Mail)
No comments:
Post a Comment