Wednesday, May 2, 2018

DAVID LUIS ,KUKIMBILIA NAPOLI

 Kuna uwezekano mkubwa  wa beki wa Brazil David Luiz, (31) kuelekea Napoli  iwapo Rafael Benitez atarudi katika uwanja wa San Paolo kuchukua mahala pake .

Pia Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard ataweza kukabili shinikizo iwapo ataajiriwa kuwa mkufunzi mpya wa klabu ya Rangers , kulingana na mchezaji mwnza wa zamani Frank Lampard. (Talksport)

No comments: