Imebainika kuwa mshahara uliotengwa kwa ajiri ya meneja atakaerithi nafasi ya Arsene Wenger kuwa mdogo hali inayopelekea hofu kwa mameneja wanopigiwa upatu wa kurithi nafasi hio.
Kwa mujibu wa (Sky Sports) Nahodha wa zamani wa Arsenal Patrick Vieira, (41) anasema amekasirishwa
mshahara ulionukuliwa na klabu hiyo baaada ya kuzungumziwa kuhusu nafasi
ya umeneja iliyo wazi.
No comments:
Post a Comment