Waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo laja kumekuwa majina ya wakufunzi wanaotajwa kumrithi Arsene Wenger ina wezekana upatu huo kumuangukia Arteta.
Kwa mujibu wa Afisa mkuu mtendaji wa Arsenal Ivan Gazidis na mkrugeni mkuu Josh Kroenke wamemtambua kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal Mikel Arteta ambaye sasa ni kocha huko Manchester City kama mtu anayeweza kuchukua mahala pake Arsene Wenger kama meneja wa Arsenal.
No comments:
Post a Comment