NEYMAR AREJEA UWANJANI
Mshambuliaji wa Paris St-Germain na nyota wa Brazil Neymar, 26, amerejea mazoezi baada ya kupata jeraha mwezi Februari .
Nyingine ni ya Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, 29, amesema anatarajia tu kucheza na nyota wa Barcelona Lionel Messi katika kikosi cha Argentina,
No comments:
Post a Comment