Thursday, May 24, 2018

INIESTA RASMI JAPANI

Kiungo nguli wa soka  duniani ,raia wa Hispania na kiungo wa muda  Barcelona Andres Iniesta ameweka wazi kujiunga na ligi ya Kijapani   baada ya kumaliza kutoa huduma Barka kwa miaka 22

Iniesta ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba adventure yake ijayo itakuwa Japan

Baada ya kusaini mkataba wake na klabu yake mpya ya Vissel Kobe, Iniesta atajiungana  na  kikosi cha Hispania Jumatatu ijayo ili kuanza maandalizi ya Kombe la Dunia nchini Urusi.

No comments: