Tuesday, May 8, 2018

INIESTA KUTAMBUKIA UCHINA

Mazoea hujenga mazoea ,kipenda roho hula nyama mbichi  imekua kawaida hasa kwa wachezaji wengi wenye majina makubwa  barani Ulaya wanapokaribia kuustaafu kutambuka   kuelekea Ligi Kuu ya Uchina  je inakuwaje  kwa Andres Iniesta?.


 Kiungo wa kati wa Barcelona Andres Iniesta  amependekeza uhamisho  wa kuelekea kwenye Ligi Kuu ya Uchina inaweza kuwa 

Pia inaweza kuwa na shaka baada ya Chongqing Lifan kudokeza mkataba wa Mhispania huyo mwenye umri wa miaka 33 unaweza kusitishwa kutokana na matatizo ya kifedha. (Goal.com)

No comments: