Tuesday, May 8, 2018

ARSENAL WATEGUA KITENDAWILI

Kitandawili kilichopo  Emirate ni nani atakaeshika mikoba ya  Wenger  kumekuwa na kitendawili hiki  kiliokosa mteguaji lakini   leo  Arsenal wameamua kutegua
Kwa mujibu wa   (Sky Sports)  Arsenal inataka kutegua kitendawili kwa kumchagua wakumrithi Wenger meneja wa Juventus Massimiliano Allegri au kocha wa zamani wa Barcelona Luis Enrique kuwa mkufunzi wao mpya
Kinachotia shaka ni kwamba   wawili hao bado wanawasiwasi kuhusiana na uongozi wa klabu hiyo. 

Enrique yuko katika hali ya kutaka kiwango kikubwa cha malipo yake iwapo atakuwa meneja mpya wa Arsenal- baada ya kutaka kulipwa £15m baada ya kukatwa ushuru. (Mirror)

No comments: