Waswahili wamenena kuwa kila chenye mwanzo kina mwisho Mkufunzi Arsene Wenger ameweka wazi wapi ataelekea baada ya kuondoka Emirate
Kwa mujibu wa (Telegraph)Arsenal Wenger amesema kuwa huenda akachukua wadhfa wa afisa mkuu katika klabu ya Ufaransa ya PSG wakati atakapoondoka Arsenal mwisho wa msimu huu .

No comments:
Post a Comment