Sunday, May 20, 2018

FELLAINI KUKACHIA MARSEILLE

Kuna uwezekano mkubwa wa kiungo wa Man United Marouane Fellaini kujiunga na vilabu vya Monaco,,Marseille wakati wowote

Kwa mujibu wa (Sunday People) Maisha ya kiungo huyo ndani ya United  yanaonekana kufika mwisho baada ya mchezaji huyo kuhama katika nyumba yake Cheshire,

No comments: