Baada ya Cheche jana Rockstar Africa imeachia kazi mpya ya Ommy Dimpoz aliyomshirikisha mwanadada Seyi Shay kutoka Nigeria inayokwenda kwa jina la Yanje'.
Yanje' ni kazi ya pili ya Ommy Dimpoz iliyotolewa rasmi chini ya rekodi yake ya kimataifa ROCKSTAR AFRIKA "ni wimbo wenye lugha 3 - Rwanda, Swahili na Kiingereza.
Pia Mofaya kinyawaji chenye Nishati ni bidhaa ya kwanza ya Alikiba, ambayo itakuwa katika soko mwishoni mwa mwezi huu.
No comments:
Post a Comment