Friday, February 9, 2018

9 February 2018,Wilshere kupunguza mshahara wake ili kusaini mkataba mpya

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere atalazimika kupunguza mshahara wake ili kutia saini mkataba mpya (Mail)

Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Christian Pulisic, 19, amekataa kupinga uhamisho wa kuelekea katika klabu ya Manchester United, Klabu aliyokuwa akiishabikia akiwa mtoto. (Mail)

Winga wa Leicester na Algeria mwenye umri wa miaka 26 Riyad Mahrez anataka klabu yake kumuhakikishia kuwa ataruhusiwa kuondoka mwisho wa msimu huu kabla ya kurui katika mamzoezi.. (Times - subscription required)

No comments: