Magaidi 25 wa kundi la kigaidi la DAESH wameripotiwa kuuawa katika mashambulizi ya angani na ardhini nchini Afghanistan.
Kamanda wa polis Fakir Muhammed amesema kuwa mashambulizi hayo dhidi ya DAESH yamefanyika katika operesheni katika mkoa wa Sardere.
Kwa mujibu wa habari,kati ya magaidi waliouawa mmoja wao alikuwa ni raia wa Uzbekistan na mwingine wa Chenchya.
NATO imesaidia katika mashambulizi hayo dhid ya ugaidi.
DEAŞ has been carrying out terrorist acts in Derzab and Kuş Tepe districts of Cuzcan province for about 2 years.
Kundi la DAESH limekuwa likifanya mashambulizi Darzab,Jowzjan kwa miaka miwili sasa.
No comments:
Post a Comment