Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Jijini Mwanza hapa nchini Elizayo Unique aonyesha kuhitaji usimamizi mzuri wa kazi za muziki wake
Elizayo ameyasema haya leo wakati akifanya mahojiano na Tovuti hii "
Management ilio jitosheleza naamini inaweza kunifikisha katika safar yangu ya mziki",.
"Ugumu ninaoupata nakosa Bageti iliyojitosheleza kwa 100% ili kuipromote Nazi yangu kuna Media nchini nakosa nguvu kwasababu mziki biashara ili wimbo upigwe kwa kasi inabidi uwe na bajeti iliyokamilika",.amesema
Aidha ameeleza muda aliotumia kua ndaa wimbo wake mpya wa Bye Bye kuwa alitumia muda wa mwaka mmoja mpaka kuuachia
Pia amefafanua juu ya maudhui ya wimbo wa Bye Bye kuwa ni ushauri kwa wakinadada waongo na wenye michepuko nje ya Mapenzi yao pamoja na umbea
Amemalizia kwa kuwashauri wanawake wauache mchepuo wa mapenzi na waseme bye bye watulie katika mahusiano yao.
Wimbo wa Elizayo Bye Bye unapatikana katika Tovuti za muziki hapa nchini
No comments:
Post a Comment