Saturday, February 10, 2018

10 February 2018,Manchester City yaingia miguu miwili kwa Shakhtar Donetsk's

Klabu ya Manchester City imekubali mkataba wa kumsajili kiungo wa kati wa Shakhtar Donetsk's 24 na raia wa Brazil Fred kwa dau la £44.5m mwisho wa msimu huu. (Goal)
Klabu za Manchester City na Manchester United zina hamu kumsajili beki wa Leicester na Uingereza Harry Maguire, 24. (Mirror)
Kiungo wa kati wa Manchester United Ander Herrera, 28, analengwa na AC Milan, ambayo iko tayari kutoa dau la £32m kumsajili mchezaji huyo wa Uhispania.(Tuttosport via Express)

No comments: