Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es salaam na kubaini malori 44 yaliyokuwa yakitaka kutolewa bandarini hapo bila ya kufuata utaratibu.
Akiwa bandarini Waziri Mkuu Majaliwa amewataka mawakala kuwa makini na watu wanaowarubuni wawasaidie kupitisha mizigo kwa kutaja majina ya viongozi wakuu wa serikali.
No comments:
Post a Comment