Mwili wa marehemu , Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Stashahada Ya Ualimu Jina Victor Makoli Aliyefariki Jana Jumanne(3.10,2017) Baada Ya Kuanguka Milima Uluguru Alikokuwa Ameenda Kutembea Na Wenzake, upo chumba cha kuhifadhia maiti hospital ya Mkoa Morogoro
Mwili wa marehemu unasafirishwa leo Kwenda Nyumbani Kwao Ukerewe_Mwanza kwaajiri ya mazishi
Taarifa hii imethibitishwa Na Msemaji Wa Chuo hicho Ngaja Musa. By MUMSO habari na Mawasiliano.
No comments:
Post a Comment