Tuesday, October 3, 2017

3 October 2017, Mwanafunzi wa Ualimu Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro amefariki baada ya kudondoka milimani alikokwenda kutembea na wenzie

Mwanafunzi wa Ualimu ngazi ya Stashahada Chuo Kikuu Cha Kiiskamu Morogoro  amefariki baada ya kudondoka milimani  alipokwenda kutembea na wenzie

Kwa mujibu wa mmoja wa walimu chuoni hapo mwanafunzi huyo alifahamika kwa jina la Victor Makola  mwenye umri usio pungua miaka 20  mkazi wilaya ya Ukerewe mkoani  Mwanza .

Maiti iko Hospitali ya Mkoa Morogoro 

No comments: