Wilaya ya Sengerema mkoani mwanza imeshindwa kukomesha uvuviwa kutumia haramu katika ziwa Victoria baada ya maafisa uvuvipamoja na watendajiwa vijijina kata kugeuza mapambano dhidiya uvuviharamu kuwa biashara yao ya kujiingizia vipato.
Mkuu wa Takukuru wa Wilaya Sengerema Protas Sambagi pamoja na mkuu wa polisi wa wilaya hiyo Mairi Makori wamesema kuwa kitendo cha maafisa waliopewa dhamana ya kusimama sekta ya uvuvi kujihusisha na vitendo vya rushwa kimechangia kuongezeka kwa uvuvi haramu katika ziwa Victoria wilayani humo.
No comments:
Post a Comment