Shambulizi katika tamasha la muziki Las Vegas nchini Marekani limesababisha vifo vya watu zaidi ya 20 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 100.
Shambulizi hilo lmetokea katika tamasha la muziki Mandalay Bay mjini Las Vegas nchini Marekani.
Shambulizi hilo limetokea Jumatatu.
Kamanda wa jeshi la Polisi Las Vegas Joseph Lambardo amesema kuwa shambulizi hilo liliwalenga watu waliokuwa katika mgahawa.
Shirika la ujasusi la Marekani FBI limeanzisha uchunguzi kubaini kuwa tukio hilo ni la kigaidi au laa.
No comments:
Post a Comment