Uturuki yatolea wito shirika la ushirikiano wa kiislamu kujadili hali inayojiri katika mskiti wa al Aqsa
Mawaziri na wawakilishi kutoka katika mataifa zaidi ya 40 wanachama wa shirika la ushirikiano wa kiislamu wamekutana mjini Istanbul baada ya wito uliotolewa na serikali ya Ankara.
Mkutano huo ulitolewa na Uturuki kufuati ghasia zilizotokea katika siku za nyuma katika mskiti wa al Aqsa mjini Jerusalem.
Ghasia hizo zilisababishwa na Polisi ya Israel kuweka vifaa vya uchunguzi katika mlango wa al Aqsa.
Uturuki imeongoza mkutano huo ikiwa waziri wake wa mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu akiiwakilisha Uturuki katika mkutano huo.
Katibu mkuu wa shirikisho hilo Yusef al Othaimen na wawakilishi kutoka Plestina, Indonesia, Jordan, Cameroon,Malaisia, Sierra Leone, Libye, lBangladesh, Gambia, Soudan, Tunisie, Somalie, Irak, Afghanistan, Koweit, Saudia Arabia, uzbekistan, Yvori Coast na Misri walishiriki katika mkutano
No comments:
Post a Comment