Saturday, August 19, 2017

19 August 2017, Waumini wa dini ya kislam wapigwa maruku kufanya ibada katika mskiti wa Fehtiye Ugiriki

Mkurugenzi mkuu wa makumbusho mjini thens Bi Helenia Banu amefahamisha kuwa ibada kwa waislamu katika mskiti wa Fehtiye itabikwa marufuku katika mskiti huo.

Marufuku hayo yataanza ifikapo Novemba mwaka 2017 na badala yake kutaweka vyombo ya kştamaduni vya kuihistoria vilivyoachwa na mfalme wa utamaduni wa Athens.

Mskiti huo baada ya ukarabati ulifunguliwa kwa ajili ya shughuli za kitalii huku ibada ikipigwa marufuku.

Mkurugenzi huyo amesema kuwa kuwa mskiti wa Fehtiye utakuwa wazi kwa maonesho hadi ifikapo mwaka 2018.

Mskiti huo ulijengwa kwa kumuenzi mfalme Mehmet ambae alikuwa mfalme wa 7 wa Dola ya Ottoman.

Baada ya kkutekwa kwa Athens na Ugiriki mwaka 1835, mskiti wa Fethiye ulitumika kama shule, ghala, gereza na jiko la kuoka mikate.

Tangu mwaka 1963 mskiti huo umetumika kama hifadhi ya vyombo vya kihistoria.

No comments: