Watu zaidi ya 30 wafariki katika ajali ya treni iliotokea Alexandria nchini Misri
Watu 36 wameripotiwa kuafariki katika ajali iliotokea mjini Alexandria nchini Misri.
Wizara ya afya ya Misri imetangaza watu 36 wamefariki katika ajali ya treni mbili ambazo ziligongana majira ya mchana .
Watu wengine zaidi ya 123 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment