Saturday, August 12, 2017

12 August 2017, Uhuru Kenyatta atangazwa rasmi mshindi katika uchaguzi


Tume ya uchaguzi nchini Kenya imemtangaza rasmi rais Uhuru Kenyatta kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu ulifanyika Agosti 8 mwaka 2017.

Tume ya uchaguzi imetangaza rasmi kuwa Uhuru amepata asilimia 54,2 ya kura huku mpinzani wake Raila Odinga akiwa na asilimia 44,7 ya kura.

No comments: