Saturday, August 12, 2017

12 August 2017, Rais Magufuli ateua NHIF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Agosti 2017 amefanya uteuzi na kumteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

No comments: