Serikali imesema kuwa barabara kuharibika mara kwa mara ni jambo la kawaida na hali hiyo inachangiwa na sababu mbalimbali ambazo hupelekea miundumbinu hiyo kuaribika.
“Ni kweli kuna baadhi ya maeneo baada ya barabara kutengenezwa zinaharibika, ni hali ya kawaida na ndio maana baada ya ujenzi katika kipindi cha maisha ya barabara tunatenga fedha kwa ajili ya kufanya marekebisho” amesema
Aidha ameweka wazi kuwa serikali huwa inafanya matengezo makubwa ya barabara kila baada ya miaka 20 tangu kukamilia kwa ujenzi husika kwasababu muda wa maisha ya barabara hiyo unakua umekwisha.
Pia ambapo akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Mariam Msabaha aliyetaka kujua serikali inachukua hatau gani kwa barabara ambazo zinaharibika muda mfupi baada ya ujenzi ya kukamilika
No comments:
Post a Comment