Sio kila kisichoriziki hakiliki muda mwingine juhudi zaweza kwani hata mende huangusha kabati Neymar hajakata tamaa ya kuitafuta saini Real Madrid
Kwa mujibu wa (AS, via Express). Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar , 26, alifanya mazungumzo ya siri na Real Madrid mnamo mwezi Machi
Pia Mchezaji huyo wa Brazil amedaiwa kutaka kuondoka mjiini Paris

No comments:
Post a Comment