Meneja wa mashetani wekundu Jose Mourinho yuko tayari kumchezesha Anthony Martial katika safu ya kati ya mashambulizi msimu ujao
Manchester United imempatia kipau mbele beki wa kushoto wa Juventus na Brazil Alex Sandro, 27, kuchukua mahala pake beki wa kushoto wa Uingereza Luke Shaw, 22, msimu ujao. (Manchester Evening News)
No comments:
Post a Comment