Mimi Mars amebainisha kuwa anawaomba mashabiki wake kufuatilia zaidi muziki wake badala ya muonekano .
Mars aliamua kupunguza mwili wake ili kujiongezea kujiamini kwa sababu awali alikuwa haumpendezi sana.
"Nilikuwa sijafurahishwa na nilichokuwa nina kiona , na klikuwa kikininyima confidence sana,so ilibidi nijitengeneze na kujibadilisha zaidi ili kuwa na confidence maana hilo ni swla muhimu zaidi katika industry tuliona yao sasa.
No comments:
Post a Comment