Saturday, May 19, 2018

INIESTA KUCHUKUWA NAFASI YA ARTETA

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na Raia wa  Hispania Mikel Arteta ambaye kwa sasa ni mkufunzi msaidizi Manchester City amekubali kuteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo.


Iwapo Arteta, ataondoka Etihad na kwenda Emirates, Pep Guardiola anampango wa  kumchukua kiungo wa kati wa zamani wa Barcelona na Uhispania Andres Iniesta, 34, kama mchezaji mkufunzi.

No comments: