Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba, Haji Manara, ameeleza kuwa atawapigia simu bodi ya TFF ili wamruhusu ashangilie leo.
Manara amesema hayo baada ya kupewa onyo la kungia Uwanjani , kuanza kushangilia mchezo uliopita dhidi ya mahasimu wao Yanga
Aidha ameeleza kuwa atafanya hivyo ili furaha yake isipotee kwa maana itakuwa ngumu kujizuia endapo Simba itapata matokeo dhidi ya Singida United.
Wekundu wa msimbazi ,Simba watakuwa na kamba mguuni kwenye Uwanja wa Namfua mjini Singida kukipiga na walima alizeti h

No comments:
Post a Comment