Thursday, May 31, 2018

CHELSEA WAMSHAWISHI LEWANDOWSKI

Chelsea wapo katika vita vya kuinasa saini ya mshambuliaji kutoka Poland Robert Lewandowski (29)

Lewandoski ambaye awali alionyesha shauku ya  kutaka kujiunga na Real Madrid  baada ya kutangaza kuwa anataka kuondoka Bayern Munich.

No comments: