Watu wasiopungua 12 wamekufa , 36 kujeruhiwa kwa kushambuliwa mara mbili nchini Afghanistani.
kwa mujibu wa Msemaji wa gavana wa mji wa Jalalabad ,Ataullah Hogyani amesema kuwa mabomu yaliokuwa yametegwa mbele ya jengo la idara ya fedha mjini Jalalabad yalilipuka na kusababisha maafa hayo.
Taarifa za awali zinasema kuwa walioendesha shambulio hilo walikamatwa.
No comments:
Post a Comment