Ikiwa ni muda mchache baada ya Meneja wa Arsenal, Aresne Wenger kutangaza kuondoka mwishoni mwa msimu huu baada ya kuitumiakia Arsenal kwa muda wa miaka 22 amewaalikia wachezaji hawa kusherehekea muda alioitumikia klabuni hapo
Kwa mujibu wa(Mail) Wenger amebainisha kuwa Thierry Henry na Tony Adams ni miongoni mwa watu mashuhuri 100 wa Arsenal ambao wamealikwa kwa mechi ya mwisho ya Wenger nyumbani, ambapo watasherehekea miaka 22 ya Mfaransa huyo katika klabu hiyo.
![]() |
Thierry Henry na Tony Adamsption |
No comments:
Post a Comment