Real Madrid italenga kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 29, mwisho wa msimu huu kama suluhu ya muda mfupi huku wakiendelea kusaka saini ya mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 24. (Sun)
Aidha nyingine ni Leicester inapanga kumsajili beki wa kulia wa Porto Ricardo Pereira, 24. Mchezaji huyo wa Ureno ana kipengee cha £36m kwa yeye kuondoka katika klabu hiyo (Mirror)
No comments:
Post a Comment